Welcome to PraiseZion

HOME |   |  DOWNLOAD APP |  OPPORTUNITIES |  SERMONS
|  JOBS |  INSTRUMENTAL | MIXTAPES |  DEVOTIONAL

SEARCH CONTENTS (Use Name Or Title)

M’bilia Bel – Paka Wewe + {Video & Lyrics}

Paka Wewe by M’bilia Bel Mp3 Download 

Download this track from M’bilia Bel titled Paka Wewe. M’bilia Bel is a rumba and world music singer from the Democratic Republic of the Congo. She is known as the “Queen of Congolese and African Rumba

Use the link below to stream and download the song

Lyrics Of Paka Wewe by M’bilia Bel

Sikiliza mfano wako papaSikiliza mfano wako ehSitowe mbele ya watu papaSitowe mbele ya watu eh
Sababu gani eh natoa makutaSababu gani eh nashinda sipansio papa
Siwezi kuiba papa juu yako ehSiwezi kuiba papa juu ya sifa yako
Leo hii aya ni yako unikane mimi paka na weweSababu niko na wewe papa ndio nateseleshwaKama sikuwa na wewe papa nisinge teseleshwa eh
Wabwana wananitamani mimi sitakiTokea tangu zamani ujanipatia kitu
Wabwana wananitamaini mimi sitakiTokea tangu zamani ujanipatia kitu
Leo hii aya ni yako unikane mimi paka na weweSababu Niko na wewe papa ndio nateseleshwaKama sikuwa na wewe papa nisinge teseleshwa eh
Wabwana wananitamani Mimi sitakiTokea tangu zamani ujanipatia kitu
Wabwana wananitamaini Mimi sitakiTokea tangu zamani ujanipatia kitu
Oh dada mapenzi ya fedha dada ni sifa kweliKwa mbele ya wandugu na dada nafamilia yote
Lakini mapenzi ya fedha si yakweli mama, dada sikiliza mama ohUlijua dada mimi masikini nakutongoza dada wewe mtajili
Kwa nini dada ukunikana mimiUnanitesa bure oh mama oh mama oh dada oh dada oh dada
Waniumiza roho oh
Oh dada mapenzi ya fedha dada ni sifa kweliKwa mbele ya wandugu na dada nafamilia yote
Lakini mapenzi ya pesa si ya kweli mama, dada sikiliza mama ohUlijua dada mimi masikini nakutongoza dada wewe mtajili
Kwa nini dada ukunikana MimiUnanitesa bure oh mama oh dada oh dada oh dada
Waniumiza roho oh
Oh dada mapenzi ya fedha dada ni sifa kweliKwa mbele ya wandugu na dada nafamilia yote
Lakini mapenzi ya fedha si yakweli mama, dada sikiliza mama ohUlijua dada mimi masikini nakutongoza dada wewe mtajili
Kwa nini dada ukunikana mimiUnanitesa bure oh mama oh dada oh dada oh dada

Download Mp3 Here

| Categories: Naija Music

CLICK HERE TO COMMENT ON THIS POST

WE ARE ON SOCIAL MEDIA

Facebook | Twitter | Instagram | Youtube

0 Comments

LEAVE A COMMENT

Type Name Below

Type Comment Below

« | »