Welcome to PraiseZion



HOME |   |  DOWNLOAD APP |  OPPORTUNITIES |  SERMONS
|  JOBS |  INSTRUMENTAL | MIXTAPES |  DEVOTIONAL

SEARCH CONTENTS (Use Name Or Title)


Evelyn Wanjiru – Mungu Mkuu

Mungu Mkuu by Evelyn Wanjiru Mp3 Download + Video

Download this track from Evelyn Wanjiru titled Mungu Mkuu

Use this link below to stream and download the track

Lyrics Of Mungu Mkuu by Evelyn Wanjiru

YaweeehEee iyee iyeeeUnabaki kua Mungu pekee. yaweeeh
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Nikitazama nyuma na mbele, , naona ukuu wako. Kaskazini kusini pia, ,Naona ukuu wako. Magharibi nako mashariki pia ee, , naona ukuu wako
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Hakuna mkamilifu katika wanadamu iyee, ,Zaidi ya ee weh Mungu wangu Mungu wangu… Kila goti lipigwe, ,Kila ulimi ukiri, , kuwa wewe ni Mungu pekee, , pekee, , weewee
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Umenipigania, , vita vikali. Hadi mimi singeweza, , peke yangu.Maadui waliniandama, ,Lakini ukawatawanya, , kwa njia sabaa… Usifiiwe… Uabudiwe
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Unabaki kuwa, , MUNGU TU. anabaki kuwa,, MUNGU TU Na kwa wakamba, , MUNGU TU.
Na kwa waluhya, , MUNGU TU.Na wakikuyu, , MUNGU TU.
Na kwa waturkana, , MUNGU TU.Hata wakisii, , MUNGU TU.Hata waluo, , MUNGU TU.Na kwa wamasaii, , MUNGU TU.Na kwa wakalenjin, , MUNGU TU.Eeeyeye MUNGU TU.Na mijikenda, , MUNGU TU.Unabaki kuwa, , MUNGU TU.Na kwa wazungu, , MUNGU TU.Afrika yote, , MUNGU TU.Dunia yote, , utabaki kua Mungu mkuu.MUNGU TU
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
 

DOWNLOAD MP3 HERE

| Categories: Music

CLICK HERE TO COMMENT ON THIS POST

WE ARE ON SOCIAL MEDIA

Facebook | Twitter | Instagram | Youtube

0 Comments

LEAVE A COMMENT

Type Name Below

Type Comment Below

« | »