Evelyn Wanjiru – Mungu Mkuu
Mungu Mkuu by Evelyn Wanjiru Mp3 Download + Video
Download this track from Evelyn Wanjiru titled Mungu Mkuu
Use this link below to stream and download the track
Lyrics Of Mungu Mkuu by Evelyn Wanjiru
Yaweeeh
Eee iyee iyeee Unabaki kua Mungu pekee. yaweeehZaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe… Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, , hubadiliki kamwe… Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Nikitazama nyuma na mbele, , naona ukuu wako. Kaskazini kusini pia, ,
Naona ukuu wako. Magharibi nako mashariki pia ee, , naona ukuu wakoZaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe… Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Hakuna mkamilifu katika wanadamu iyee, ,
Zaidi ya ee weh Mungu wangu Mungu wangu… Kila goti lipigwe, , Kila ulimi ukiri, , kuwa wewe ni Mungu pekee, , pekee, , weeweeZaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe… Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Umenipigania, , vita vikali. Hadi mimi singeweza, , peke yangu.
Maadui waliniandama, , Lakini ukawatawanya, , kwa njia sabaa… Usifiiwe… UabudiweZaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe… Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…Unabaki kuwa, , MUNGU TU. anabaki kuwa,
, MUNGU TU Na kwa wakamba, , MUNGU TU.Na kwa waluhya, , MUNGU TU.
Na wakikuyu, , MUNGU TU.Na kwa waturkana, , MUNGU TU.
Hata wakisii, , MUNGU TU. Hata waluo, , MUNGU TU. Na kwa wamasaii, , MUNGU TU. Na kwa wakalenjin, , MUNGU TU. Eeeyeye MUNGU TU. Na mijikenda, , MUNGU TU. Unabaki kuwa, , MUNGU TU. Na kwa wazungu, , MUNGU TU. Afrika yote, , MUNGU TU. Dunia yote, , utabaki kua Mungu mkuu. MUNGU TUZaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe… Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.